Niko vyema, ila dogo ukishiba huwa huna adabu kwa ma brother zako ehh?Intelligent businessman uko poa janja.
Janja ma fegi yana kuharibu, hebu amkia wakubwa ili tuku elimishe.Mimi ni Sumba ntale unyamwezini janja!
Nakubalika kinyama kinyama, wangenikuta Enzi zangu hao! Mshukuru sana Lamomy kwa kunituliza.
Zangu utazipata, naomba nikuoneNakudai ww mpk ukipita kwanza😆
Aisee kwaio nikiziona now kuna shido?😁Zangu utazipata, naomba nikuone
Mhm nyie wa kike mna picha nyingiKwaio namm nirudie ileile😁
Sio mimi! Nna za kuhesabu😁Mhm nyie wa kike mna picha nyingi
Sasa kazi utaiweza? mama wachungaji huwa hatuchiti🤪Mhmm sio kweli ,ni vile tu sio mnene
Mimi mtu wakazi siwezi acha kazi na sina kazi😄Sasa kazi utaiweza? mama wachungaji huwa hatuchiti🤪
Chizi wewe🤣Mimi mtu wakazi siwezi acha kazi na sina kazi😄
Sini ni kweli lakiniChizi wewe🤣
Mhmmmm tuma bhanaUkija useme sasa nmeifuta😁
Usijali wewe tuma hivyo hivyoNaanza soon diet usitoe macho sana😂