Poleeee.Nione hata meno tu basi
Pazuri Sana, wapi hapa kijana?Jobless pro max.
Umbuzi mwisho dar, huku nanjilinji mna chinjwa.
Selikavu, dosho12, Zulu man, Vishu Mtata
View attachment 3488071
Ameachaaaaa! Huyo ataachwa na Efootball.
Ngβombe 1000 unakosaje maana babaa? Ukija wanakupa na nyongeza ujueπWeeeeeewe ili nionekane sina maana
Hii noma kwetu debe moja la mbege unavuta mchumbaNgβombe 1000 unakosaje maana babaa? Ukija wanakupa na nyongeza ujueπ
Nanjilinji bro π¦Pazuri Sana, wapi hapa kijana?
Ngoja aje kutoa jibu mwenyewe maana tayari sielewi πAmeachaaaaa! Huyo ataachwa na Efootball.
πππππ
Mtakuja kupenda na bibi zenu kija ππUmeweka kapicha na mie mwenye mali hata sijaitwa, vile unamiminiwa sifa mie kamoyo kanaenda mbio π
Khalas ππ
Muhimu mapenzi mengine hayana shida πMtakuja kupenda na bibi zenu kija ππ
Na pisi za Huko zilivyonyooka, sasa huku utaweza kweliπ€Hii noma kwetu debe moja la mbege unavuta mchumba
πππππNgoja aje kutoa jibu mwenyewe maana tayari sielewi π
Nitakutag nikipitaKabisa madam , upite chap na wew basi.
2012 hukuwa hata na miaka 10, 2012-2025 = 13.Si wewe umenitapeli, kapicha kanawekwa hata habari sina.
Ndugu zangu Intelligent businessman, Selikavu hii imekaaje maana nimetumia simultaneous equation sijapata jibu.
Khalas π
πππππnimechekaSi wewe umenitapeli, kapicha kanawekwa hata habari sina.
Ndugu zangu Intelligent businessman, Selikavu hii imekaaje maana nimetumia simultaneous equation sijapata jibu.
Khalas π
Umeweka kapicha na mie mwenye mali hata sijaitwa, vile unamiminiwa sifa mie kamoyo kanaenda mbio π
Khalas ππ
Hahaha kunyooka ni mtazamo wamtu tuNa pisi za Huko zilivyonyooka, sasa huku utaweza kweliπ€
Wivu muhimu bhana πTulia Acha wivu ππ
40 yrs, tuseme starting 20 alikuwa na 2 men per year.Acha uwaki wewe, tunda halizeeki πππ