Si ndioβΊοΈπToto la kisukuma sioπππ
Kabisa , ngoja nitafute hela nije nikusombeπSi ndioβΊοΈπ
Unisombe kama ngβombe sioπKabisa , ngoja nitafute hela nije nikusombeπ
Hahahahaa si ndioUnisombe kama ngβombe sioπ
Hahahahaa si ndio
Hahahaa sio kweli na weweDahh sawa! Wacha nisubiri kupakizwa kwenye lori la ngβombe tuβΉοΈ
Mara ya mwisho kukuona nikipindi kile cha sofi, hebu fanya namna utubless cheupe wetu.Poa mambo vip
Nilianza na kuagiza kamba kabisa niwe tayari! Eenh afadhaliiπHahahaa sio kweli na wewe
Kwamba πNilianza na kuagiza kamba kabisa niwe tayari! Eenh afadhaliiπ
Si kusombwaπKwamba π
Ngoja nitafute pesa tu , usukumani wanataka ng'ombe 300 nasikiaπ€Si kusombwaπ
Lete ata 1000 tu hamna shidaπNgoja nitafute pesa tu , usukumani wanataka ng'ombe 300 nasikiaπ€
Si wewe umenitapeli, kapicha kanawekwa hata habari sina.Umetapeliwa na nani ,hebu tuambie π
Umeweka kapicha na mie mwenye mali hata sijaitwa, vile unamiminiwa sifa mie kamoyo kanaenda mbio πKm ambavyo ndugu yako analalamika kaachwa na mi ht sijuiππ
Razorblade
Weeeeeewe ili nionekane sina maanaLete ata 1000 tu hamna shidaπ
Poleee ππππMhmmmmmm, nimesikitika sana.
Nione hata meno tu basiPoleee ππππ
Nakuonaaa mama mtumishi.Haswaaa nimejaa tele
Hahaha