Fanya kupita chapMbna mie nilipitwa na Money gram.
πππππ
Ianze kwanza Western Union.Fanya kupita chap
Mhmmmmmm, nimesikitika sana.Ianze kwanza Western Union.
Imekosekana KONYAGIIII hapo π€£ππ
Hivi nanjilinji huwa ni sehemu ya kweli au umetunga tuπJobless pro max.
Umbuzi mwisho dar, huku nanjilinji mna chinjwa.
Selikavu, dosho12, Zulu man, Vishu Mtata
View attachment 3488071
Kaka niko nanjilinji, huku hata namba ya nyumba hakuna πHivi nanjilinji huwa ni sehemu ya kweli au umetunga tuπ
Itabidi niongeze nanjilinji kwenye list ya sehemu ya kwenda kabla sijafa πKaka niko nanjilinji, huku hata namba ya nyumba hakuna π
Huku kama kagera.Jobless pro max.
Umbuzi mwisho dar, huku nanjilinji mna chinjwa.
Selikavu, dosho12, Zulu man, Vishu Mtata
View attachment 3488071
On your risk ππ€£Itabidi niongeze nanjilinji kwenye list ya sehemu ya kwenda kabla sijafa π
HapanaHuku kama kagera.
Mbona tunatishana tena πOn your risk ππ€£
we karibia tu, nanjilinji sio kwa wanyonge πMbona tunatishana tena π
Ukitutumia picha hii watu wa dodoma tunakuona Freemason ππhicho kijan umetoa wap msimu huuJobless pro max.
Umbuzi mwisho dar, huku nanjilinji mna chinjwa.
Selikavu, dosho12, Zulu man, Vishu Mtata
View attachment 3488071
Vzr,ratiba ya Mwalimu Dar lini?Kabisa Kabisa
Tunamshukuru Mungu
Haswaaa nimejaa teleMama mtumishii upoo?
Huko mpk next Yr ,Dar na Arusha huwa ni mwanzoni mwa mwaka....Vzr,ratiba ya Mwalimu Dar lini?
Unacheka nini mama mchungaπ€Huko mpk next Yr ,Dar na Arusha huwa ni mwanzoni mwa mwaka....
Tumemaliza ir juzi,
Keshokutwa tunaanza Njombe,next week j5 tunaanza Mbeya ndo Seminar ya mwisho tukutane mwakani!