Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,854
- 82,007
Ewaaaa mkuu upo kama Mimi ni basi director kafanya roho mbaya kampa uhusika ule yule mtoto mzuri sana walahiAf mm namuona wa kawaida aliya ndio pisi kalii
Ewaaaa mkuu upo kama Mimi ni basi director kafanya roho mbaya kampa uhusika ule yule mtoto mzuri sana walahiAf mm namuona wa kawaida aliya ndio pisi kalii
Uko mbeleni jawad ana muoa na mtoto ni wa jawad basil ata kufa kwasababu ya fei kuongea ukweliiAngetaka kumkomoa Aaliya, basi angeolewa na Jawad na kuhakikisha anamzidi Aaliyah kwenye industry ya mitindo.
Kaolewa na Bassel kapoteza kila kitu na kamuumiza Bassel.
NomaAf awe twiga kidogo na kashep ka mbalii
Hata wanawake wengi wana maumbo makubwa, lakini mkipima uzito mnalingana, au unamzidi na pengine mnalingana..Wewe mwenye mifupa mikubwa nyama kidogo lazima umzidi kg mwenye mifupa myembamba na minyama uzembe😂
Aliya ana vitu flan hivi kachangamka yaani ata kwenye maisha ya kawaida nje na kuigiza ana mapozi sanaEwaaaa mkuu upo kama Mimi ni basi director kafanya roho mbaya kampa uhusika ule yule mtoto mzuri sana walahi
Fei kule kwao muimba bongo flavaUko mbeleni jawad ana muoa na mtoto ni wa jawad basil ata kufa kwasababu ya fei kuongea ukwelii
Bado mchanga ata ivyoFei kule kwao muimba bongo flava
Mitoto ya kilebanoni mizuri sana ankoAliya ana vitu flan hivi kachangamka yaani ata kwenye maisha ya kawaida nje na kuigiza ana mapozi sana
Una wapata umatumbini tu 😁Noma
Sasa wanawake wengi wana minyama tuHata wanawake wengi wana maumbo makubwa, lakini mkipima uzito mnalingana, au unamzidi na pengine mnalingana..
Hmm kwaio sisi wafupi tuelekee wapi?Af awe twiga kidogo na kashep ka mbalii
Actually 100%Mitoto ya kilebanoni mizuri sana anko
Ushungi sio lazima mtu awe mwislamu tu ,hiyo ni mitindo ya mavazi tuUmenikosa😂
Wafupi mbona wazuri tuHmm kwaio sisi wafupi tuelekee wapi?
Uoande wa kushoto kuelekea kuliaHmm kwaio sisi wafupi tuelekee wapi?
Mimi naona faith yupo vizuri kuliko Aaliyah mbona? Macho ya faith hamuyaoni au, bado kile kishepu chakeAliya ana vitu flan hivi kachangamka yaani ata kwenye maisha ya kawaida nje na kuigiza ana mapozi sana
Ndoivyo sasa kila nikiuweka haukai mahala pake😁Ushungi sio lazima mtu awe mwislamu tu ,hiyo ni mitindo ya mavazi tu
Aarghh unanivuruga tu zaidi, naelekea mtwara ss😁Uoande wa kushoto kuelekea kulia