ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 16,787
- 61,256
Halafu mwenyewe najiona model🤣Kumbe mnene 🤭
Halafu mwenyewe najiona model🤣Kumbe mnene 🤭
Makosa makubwa hayo anza kupungua kula vyakula vya kusikia njaa tuHalafu mwenyewe najiona model🤣
Kg zinaweza kuwa nyingi na mtu asiwe mneneKumbe mnene 🤭
Kama zile zako nzuri sana , hapo sawa ila ageuke kidogo .
Miguu ina onyesha lakinKg zinaweza kuwa nyingi na mtu asiwe mnene
Mwili wa wastani, itakua mifupa hii mizitoMakosa makubwa hayo anza kupungua kula vyakula vya kusikia njaa tu
Kafa au? Sema kile ki aliya Kila nikikatazama nasikia Raha vibaya mno 😎Usinikumbushe machungu! Jana nimelia Bassel kaniliza
Kama nina mguu wa bia je😂Miguu ina onyesha lakin
Shemeji na wewe una mvesha sare za vitenge 😁View attachment 3485863
Si kama hizi au?
😃😀😀Dah!Urefu wangu natakiwa kupunguza kg 20😎
😅 kiukweli napenda mdada avae sketi ndefu , pia akipiga na ushungi anakaa poa sana 🤗Yani ngoja nikipiga picha nimevaa kama gunia, ana bahati kanisani kwetu Tunavaa suruali pia..
Hivi huwa inasababishwa na nini?Kg zinaweza kuwa nyingi na mtu asiwe mnene
Lazima hapo kiunoni napo panenepe kidogoo kulingana na size ya mguuKama nina mguu wa bia je😂
Hajafa! Anamlilia faith, na faith ana mimba ya JawadKafa au? Sema kile ki aliya Kila nikikatazama nasikia Raha vibaya mno 😎
Ohhh duh kg 100 hatari sanaMwili wa wastani, itakua mifupa hii mizito
Dada angu ana kg 100+ na sio kibonge
MifupaHivi huwa inasababishwa na nini?
Watu tunaolingana body size wengi nawazidi Kg mbali, hata wengine wana body size kubwa..
Jawad muhuni muhuni sana Hana tofauti na yule ndugu yake aliekula beki tatuHajafa! Anamlilia faith, na faith ana mimba ya Jawad
Bassel anampenda sana faith kuliko Jawad
Kuna watu wana mifupa yenye maumbo makubwa tu , kg zao zinakua nyingi kutokana na structure ya mifupa yao .Hivi huwa inasababishwa na nini?
Watu tunaolingana body size wengi nawazidi Kg mbali, hata wengine wana body size kubwa..
Fey ana tamaa ana visasi vya kijinga sana asee ana umiza watu wengi kwa wakat mmoja kulikuwa na haja gani ya yeye kwenda kuchunguza aliya mama yake nan?Hajafa! Anamlilia faith, na faith ana mimba ya Jawad
Bassel anampenda sana faith kuliko Jawad
Umefuta sijaona anko 😃😀Mifupa