kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 7,775
- 20,687
Sio mbaya kama unapiga tizi..... kwa urefu huo na hizo kgs bado hauko pabaya.... ! Mm Mara chache mno wkend naweza gusa moja baridi moja moto....hapa nna miez sijagusa 😃Kaka mimi napiga tizi kama chizi , pia nakula pombe na wewe hauwezi gundua kama mimi nakula pombe kwa mtazamo tu