Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,131
- 33,902
Hizi tunza utamsikilizisha mpenzi ajaye.Na vi wimbo ππ
Naipa nafsi hope π€ͺ
View attachment 3478953
View attachment 3478952
View attachment 3478954
π€ͺπ€ͺπ€ͺ Japan wamekuja na kifaa, cha kufuta memory.. hii itasaidia sana wahanga. Hizi song nakumbuka miaka ya zamani sana kwenye ujana, leo nimejikuta nazikumbuka na nimekumbuka mbaali sana kwa mtoto Winfrida enzi hizo namsindikiza skongaaaHizi tunza utamsikilizisha mpenzi ajaye.
Mimi hizi nyimbo siwezi kusikiliza, nina PTSD ya mapenzi!
Naungana na Evelyn Salt kama vipi yafutwe, nibakie na kudinyana tu!
Min babu jinga πΉπΉWe pitia pitia, hakuna kilichofutwa.
Mkaka kadondokea kwa mtoto mmoja humu, ila binti hamtaki π€£π€£ leo kaja kuyamwaga hapa hapa π€£π€£
Muache my friend buana πMin babu jinga πΉπΉ
Wakati tunasubiria jukwaa la wambea, anza kuupunguzia hapa hapa πNna ubuyu unaniwasha ngoja nikamwambie Max aweke jukwaa la wambea ili niflow huko..!!
Magori pubAsante, mko kiwanja gani?
Ubuyu exclusive huo siumwagi kirejareja πΉπΉπΉMuache my friend rafiki buana π
Wakati tunasubiria jukwaa la wambea, anza kuupunguzia hapa hapa π
View attachment 3479063
Ila nitainjoy safari tu ππ€£π€£π€£ Kitengo unaenda kozi mwaka mzima, kupiga visahani tuπ€£π€£π€£
Hii nyimbo tamu sana aseeeTumoghele Forever
Ngeta Kanunu My Hommie. π
Nyimbo Kali sana hizi π₯Na vi wimbo ππ
Naipa nafsi hope π€ͺ
View attachment 3478953
View attachment 3478952
View attachment 3478954
Masta Leo nilikuwa kitaani kwenuView attachment 3479496Mimi hapa mfanya Famigation PB
Seriously ulikua hapa....Masta Leo nilikuwa kitaani kwenu
Ndio pale nilipopita nikakuta Kuna watu wengi πππnilikuwa na vijana wangu wa dawasco na dawasa tunapiga kazi kuanzia Chamazi to kiponzaSeriously ulikua hapa....
Daaah daaaah mbona ujanipanga na mi nilikua kwa kikao cha familia huko...
Kuna mdogo etu anaoa πππππ
Unaona sasa an tunaweza kuwa tunaoishana mitaani huko hivi hivi bila hata kujuana...Ndio pale nilipopita nikakuta Kuna watu wengi πππnilikuwa na vijana wangu wa dawasco na dawasa tunapiga kazi kuanzia Chamazi to kiponza
πππππ Kabisa kakaUnaona sasa an tunaweza kuwa tunaoishana mitaani huko hivi hivi bila hata kujuana...
Assume unge shout POOR BRAIN ahahahah ππππππ
Mungu baba aibariki kazi ya mikono yakoView attachment 3479496Mimi hapa mfanya Famigation PB
Ameen mkuuuMungu baba aibariki kazi ya mikono yako
Una maanisha mimi?Min babu jinga πΉπΉ
Nna ubuyu unaniwasha ngoja nikamwambie Max aweke jukwaa la wambea ili niflow huko..!!