Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,131
- 33,902
Naona umelala na kuamka na mawazo ya kwenda milimani.
Leo nina ka vibe ka ki vacation maMtu πNaona umelala na kuamka na mawazo ya kwenda milimani.
Nenda mapumziko usijinyime, maisha yenyewe ndiyo haya haya!Leo nina ka vibe ka ki vacation maMtu π
View attachment 3478473
Hebu ropoka tu, maana leo kalewa ameyamwaga humu siyo poa π€£π€£π€£πΉπΉπΉ Au sio?
Ujue mwanakwetu mi mdomo wangu hauna breki, nitaropoka nimkwaze min π€£
Weeh..!! Em samaraizi kwanza mwanakwetu πΉπΉπΉHebu ropoka tu, maana leo kalewa ameyamwaga humu siyo poa π€£π€£π€£
We pitia pitia, hakuna kilichofutwa.Weeh..!! Em samaraizi kwanza mwanakwetu πΉπΉπΉ
Kumbe kulikua pambe leo humu? π€£
ππβ€οΈβ€οΈKipenzi changu ni mmoja tu
ππ
π€£π€£π€£ Kitengo unaenda kozi mwaka mzima, kupiga visahani tuπ€£π€£π€£
Ukiwa online nicheki βΊοΈπwapi?,, zile za mwanzo zilikua changamsha uzi sameja usichukulie seriousπ€π ,, ebu selfika kwanza tuone kama kuna mabadiliko
Tumoghele Forever
We pitia pitia, hakuna kilichofutwa.
Mkaka kadondokea kwa mtoto mmoja humu, ila binti hamtaki π€£π€£ leo kaja kuyamwaga hapa hapa π€£π€£
Naona wewe na kichwa chako ndiyo mnaamka mkuu π
evening walking π€ͺ π€ͺNaona wewe na kichwa chako ndiyo mnaamka mkuu π
Vijana mabikra ndiyo nyimbo zenu hizi π€£ au siyo?
Bikra sie hatuna maneo kabisaa.. Plus haka ndio ka playlist zangu.. mida kama hii nakumbuka mbaaali πVijana mabikra ndiyo nyimbo zenu hizi π€£ au siyo?
Ordinary is a nice song πBikra sie hatuna maneo kabisaa.. Plus haka ndio ka playlist zangu.. mida kama hii nakumbuka mbaaali π
View attachment 3478886
π π leo nimejikuta mpwekee sanaaa.. mapenzi matamu sanaa, nimeamua kusikiliza hizi hasa hii alikuwa anaipendaOrdinary is a nice song π
Mbali wapi? si useme tu unakumbuka nyimbo uliyokua unambembelezea mpenzi baada ya kumchapa π¦π
Pole na upweke, wimbo gani huu, siwezi kuplay hapa nilipo!π π leo nimejikuta mpwekee sanaaa.. mapenzi matamu sanaa, nimeamua kusikiliza hizi hasa hii alikuwa anaipenda
View attachment 3478901