Selfika na JF: Snap it. Show it

Kaka leo nakunywa pombe mpaka nizime🤣
Mimi natoka hapa muda si mrefu nianze kupiga mayii mpaka yaite mmaa..

Tangu Jana Nina good news imekua bahati sana mwezii September 😊😊😊

🥃🥃🥃Kuna kijiwe kimoja naenda ila washikaji wa pale wanapenda sana kuomba omba haaahaa 😊 😊 nataka niwakatae nimegundua ni wrong company Jana nilikua kibunda kimeteketea kama SGR aiseeee 🤔
 
Sure bro juzi nimepiga bingo la dollars 6000 , nnje na mshahara, hapa nakula vitu kwa burudani ya kipekee sanaa
 
Napapenda sana Lushoto, kungekua na airstrip unaweza kufika bila kutumia barabara ningekua naenda mara nyingi zaidi.

Ila zile kona kona za kupanda milimani, kila nikienda nakua too anxious naogopa mkuu!
Unakodi chopaa maMtu 😅😅..
Mie ni dereva mzuri sana, siku ingine nipee kazi ya kukupelekea, hutokjwa na wasi wasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…