Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nyie endeleeni kuchat bila kula,. Nlikuwa nakula Keki Kwanza nikisubiri chakula
DSC_0202.JPG
 
I’m glad that happened!

Whenever you gat time come to selfika ….😉
Uko binti mrembo sana tena mno aisee. Na kwa kukusoma soma hapa na pale inaonekana uko mcheshi, very humble na down to earth person. Kwa nini uliamua kujiita Binti Kiziwi? Is it literal or just symbolic? I think you are the most beautiful lady on this platform; hands down! 🙏
 
Hii platform ina wanawake na mabinti warembo, Si wote wako comfortable kutumia huu uzi, baadhi bado wanautumia na baadhi wameshaacha kuutumia. Aliyenielekeza kwa mara ya kwanza kuhusu JF, ni dada mmoja mwalimu, mpare mrembo haswa.

Kuhusu jina, Zamani nilikuwa nampenda yule binti kiziwi wa wimbo wa Z Anto. Nothing serious.

Jina lako linachekesha sana mkuu 🤣
 
Back
Top Bottom