Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,543
- 8,817
Hahaha!! Kuna manzi mmoja Hivi ya jf!! Ilikua inanipanga naiuliza unafanya kazi Gani kwani!! Inaniambia mi nasukaga sukaga pale mwenge! Naenda natega nikipata sawa nisipopata sawa.Sina mawe chino 😹
Siku nakutana nayo niliishiwa pozi.
Mimi ndio nilitaka nichore. Kumbe ni kibopa mkubwa na heshima zake