Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,505
- 8,713
Hizi story za mda sana!!😹😹😹 Mnanunua dhambi chino, utachomwa moto huogopi?
Labda kama ni connection ya mtu maarufu.
Hizi story za mda sana!!😹😹😹 Mnanunua dhambi chino, utachomwa moto huogopi?
Kumbe una manzi wengi JF 😳😥Hahaha!! Kuna manzi mmoja Hivi ya jf!! Ilikua inanipanga naiuliza unafanya kazi Gani kwani!! Inaniambia mi nasukaga sukaga pale mwenge! Naenda natega nikipata sawa nisipopata sawa.
Siku nakutana nayo niliishiwa pozi.
Mimi ndio nilitaka nichore. Kumbe ni kibopa mkubwa na heshima zake
Mtaalamu ni lazima uwe na mbinu tofauti tofauti, ukiwa na mbinu moja utaboa.Hatari sana 🤣🤣🤣
Mbaga Jr unashindwa nini kutazama tu ukamwaga, kwani lazima ujiwekee yale ma nzi yako?
hahaha!! Story za mda sana hizi!Kumbe una manzi wengi JF 😳😥
Mtaalamu ni lazima uwe na mbinu tofauti tofauti, ukiwa na mbinu moja utaboa.Hatari sana 🤣🤣🤣
Mbaga Jr unashindwa nini kutazama tu ukamwaga, kwani lazima ujiwekee yale ma nzi yako?
😹😹😹 Ni wewe nyoko zakoEpuka matapeli, Mbaga Jr ni mmoja tu
Uongo 😏hahaha!! Story za mda sana hizi!
Kazi ndo ilitukutanisha!!
Last seen yake humu ndani ni 2020..
Hakuna mtu mbishi kama aliye karibu kutapeliwa, ndo ww sasa 😂😹😹😹 Ni wewe nyoko zako
Mbaga selfika nikuone mtu wangu 😹Hakuna mtu mbishi kama aliye karibu kutapeliwa, ndo ww sasa 😂
Fungua pm nkutumie, mm nna sura person sipaswi kuonekana ovyo, watengenezaji wa horror movies wasije kunitafuta 😂Mbaga selfika nikuone mtu wangu 😹
😹😹😹 We post hapa pm ina shida bana.!!Fungua pm nkutumie, mm nna sura person sipaswi kuonekana ovyo, watengenezaji wa horror movies wasije kunitafuta 😂
Sitaki kuwa muigizaji wa horror movies 😎😹😹😹 We post hapa pm ina shida bana.!!
Alikua anataka teleza zilee za dolmiteUongo 😏
Ilikuwaje hadi mkafikia kuulizana kazi?Alikua anataka teleza zilee za dolmite
Nyeupe; kipindi icho nilikua na deal Nazo.
Aveter yangu Ile nyingine mpaka Leo hii; inapicha za hayo mawe. Siku ukiyataka niambie ntakuagizia kwa Bei ya shamba kulekule;Ilikuwaje hadi mkafikia kuulizana kazi?
Hii haingii akilini chino 😹
KwakweliSasa tufurahi rasii😊
Case closed honey bunny 😍Aveter yangu Ile nyingine mpaka Leo hii; inapicha za hayo mawe. Siku ukiyataka niambie ntakuagizia kwa Bei ya shamba kulekule;
Uzuri nlikutafuta😄😄😄 acha basi Mpaji Mungu
Nlitimiza ahadiPole sana , nilimtuma Mpaji Mungu akusake😅