Weee
Member
- Sep 14, 2025
- 81
- 178
🫣🫣 na zipo Russia hapa bongo sijawai zionaaShanga za wa Russia ndiyo zikoje 😅😂
🫣🫣 na zipo Russia hapa bongo sijawai zionaaShanga za wa Russia ndiyo zikoje 😅😂
Hebu weka kapicha hapa tuzione 😎🫣🫣 na zipo Russia hapa bongo sijawai zionaa
😅😅 aah! kukuweka juu ya mezaa au ya mambo ya kumalizia juu ya meza ya kitchen😹😹😹 uubebe juu juu uupeleke wapi kiongozi?
Dah! Pole chino 😥🥹Wahenga walionaga mbali sana
trust me!!
Mbaya zaidi unatemwa alafu Bado unarushwa roho!! hahaha alinipagawisha sana.
Sababu ya Mimi kua na dogo alimpeleka sehemu nyingine kulelewa Ili Aishi na jamaa yake vizuri. Huko ndiko nilipomfuata dogo na kuanza kuishi nae.
haha wewe Bado unanukia maziwa mdomoni!!Janja msitu mzito haukatwi na kisu.
😅😅 aaah! Zilikuwa kiunoni mwa mtu, banaa ile shangaa ni noumaaa, alafu inavaliwa moyaaa tu kiunoniHebu weka kapicha hapa tuzione 😎
Wewe tena, dakika 0 vimacho vimeshageuka 😂😅😅😅 kabla hujawaza mwenzako naingia bafuni kuoga nishakuwa mwepeeesiii... mie nikiona tu tayaaarii
Stop kadi tatu 😹😹Haaahaa 😂 😁
Sidanganyikii nimekubamba Leo Leo
😅😅 yani sina mda wa kupotezaaa mie
Kwendraa zako 😹😹😹😅😅 aah! kukuweka juu ya mezaa au ya mambo ya kumalizia juu ya meza ya kitchen
Mzeeyaaa wewe sio mgeni wewe ni mwenyejiiiii😅😅 yani sina mda wa kupotezaaa mie
hahaha!!Dah! Pole chino 😥🥹
Usiendelee mi nna huruma sana najijua..!!
December nicheck kuna kitu nitakupa umpe auntie mshunuu 🥰
😅 na nina kwendraa kwelii, maana ushaniokoaaa.. hapa mwepeeeesiii kwa kutazama tuuu.. hatunanga mda wa ku potezaKwendraa zako 😹😹😹
Janja kupajua kimboka usha jikuta mzeehaha wewe Bado unanukia maziwa mdomoni!!
Ungekua mtulivu ungechota busara na hekima nyingi sana kwa sisi wahuni wa zamani.
Nitakucheck pm tusaidiane kumchagulia zawadi muda ukifika..!!hahaha!!
Usijali.
Lomomy mitano tena
karibu Cairo badae 😎😎...
Kipindi icho buguruni hakuna kimboka! Tulikua tunaenda super fanaka na kigongo bar. Zote hizi zilikua buguruniJanja kupajua kimboka usha jikuta mzee
huwa napenda kiwe.kipini kimoyaa tu kwa puani yaniii.. na kama ikipendeza na kitovuni hivi 😎😎
Matumizi mabaya ya rungu hilo!😅😅 yani sina mda wa kupotezaaa mie