Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,474
- 96,931
janja kaka ako niko hapa so ondoa shaka, wachambua maparage wata tujuza.Sasa chino nikifa nani atakuja kuwajulisha Wana jf
πππΉπΉπΉ Hamna bana chino yuko really
Sa mi mwenyewe si m-cuba pacha au umenisahau?? π€£
Kwahiyo dr unawachezea wakurya weusi kisha unaoa warangi weupe πΉπΉπππ Honesty siku IZIII ndio nime adopt ila sinaga mzuka kabisa kabisa Kuna mkurya mmoja mkorofi nili date nae zamani ni mweusi TIII ila ana hipsi na tako la kwenda good enough last weekend kaolewa harusi nili mtolea na mchango Mimi na yeye ni washikaji ila sio wa kupasha viporooπ€£
Nimecheka kimasai ππ€£
Ila intel nimecheka sana πΉπΉjanja kaka ako niko hapa so ondoa shaka, wachambua maparage wata tujuza.
Ukiona hali tete sema nipelekeni kwa mjukuu wa chief, uta pona haraka.
Huyu dogo Intelligent businessman waki sana.Ila intel nimecheka sana πΉπΉ
Kwahiyo wewe upo utawajulisha JF π€£
Umemkazia chino humpi nafasi ya kujitetea dah..!!
Ewaaaaaaa!!πΉπΉπΉ Hamna bana chino yuko really
Sa mi mwenyewe si m-cuba pacha au umenisahau?? π€£
Sio kweriiiii ni scenerio unaweza mkakutana na mtu mka Date bila kujua..Kwahiyo dr unawachezea wakurya weusi kisha unaoa warangi weupe πΉπΉ
Usi ulize we pigia mstari, nita ujuza. Umma kuwa Kapachino hatunaye ππIla intel nimecheka sana πΉπΉ
Kwahiyo wewe upo utawajulisha JF π€£
Umemkazia chino humpi nafasi ya kujitetea dah..!!
Janja usha anza kukosa nidhamu, ila shukuru leo kaka nipo so the school is free.
Pitia simu anaongea na mama Ake fresh na hasa sikuizi ndio anaongea sana maana mama Ake nae amekua na juhudi za kupiga simu. Nafsi yake imekunjuka sikuhizi mpaka ada ana changia kwa kiasi chake.( Ila ana miaka miwili hajamuona).Unalea peke yako?
Alikuachia kwa matakwa yake au ni wewe uliamua hivyo??
Lakini kwa umri huo mtoto alitakiwa kuishi na mama yake chino..!!
Jitahidi basi mzike tofauti zenu ili mtoto awe huru kwa wazazi wake wote..!!
Awe anaenda na kwa mama yake bila tatizo, msimuonyeshe drama zenu kwa afya ya ukuaji wake..!!
Shukuru Leo ijumaaJanja usha anza kukosa nidhamu, ila shukuru leo kaka nipo so the school is free.
Skill za Einstein, I'm the mostly.
Usha kunywa maziwa kwanza π
Ulipotelea wapi kwani?
Wewe nakulia timing tu. Kuna bonge la uzi naliandaa kwa ajili yako nikiambatanisha na video.The Mongolian Savage weka Selfika na rura lako la bange tukuone.
Ndiyo umeamka boss? naona kijani wamekukaa sana kichwani π€£
kidumu kijani .. nimeamka ila narudi kulala πNdiyo umeamka boss? naona kijani wamekukaa sana kichwani π€£
Siyo kwa mauno hayo mzee wa tako na nusu π€£π€£π€£kidumu kijani .. nimeamka ila narudi kulala π
View attachment 3475854
SelfikaSiyo kwa mauno hayo mzee wa tako na nusu π€£π€£π€£
π π tunafurahisha sanaaaaa .. na vijana ndio hawa tunawaandaaaSiyo kwa mauno hayo mzee wa tako na nusu π€£π€£π€£