Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwahiyo weusi tukaungane na weusi wenzetu 😹😹

Sasa paja linahusiana nini na rangi? πŸ₯ΉπŸ˜Ή

Mchagua jembe si mkulima
😊😊😊 Honesty siku IZIII ndio nime adopt ila sinaga mzuka kabisa kabisa Kuna mkurya mmoja mkorofi nili date nae zamani ni mweusi TIII ila ana hipsi na tako la kwenda good enough last weekend kaolewa harusi nili mtolea na mchango Mimi na yeye ni washikaji ila sio wa kupasha viporoo🀣

Nimecheka kimasai πŸ˜‚πŸ€£
 
Kwahiyo dr unawachezea wakurya weusi kisha unaoa warangi weupe 😹😹
 
Kwahiyo dr unawachezea wakurya weusi kisha unaoa warangi weupe 😹😹
Sio kweriiiii ni scenerio unaweza mkakutana na mtu mka Date bila kujua..

Mimi ni mpole sana dats ibumex nilipo weka self yangu aliligundua unajua yule mkurya alikua ni mkorofi na WIVU ulio pitiliza anaweza anzisha UGOMVII USIO na maana Wala kichwa Wala miguu..

Imagine Mimi nakua cool simjibu au nam Fanya. A cool down baadae anakuja kunambia AM 4 REAL SIJAWAI KUONA MWANAUME KAMA WEWE YOUR A REAL GENTLEMAN UNAVUMILIA MAPUNGUFU YANGU.

Sasa MWANAUME anaitajii utulivu Sasa kwenye stress hakaiiiii 😊
 
Pitia simu anaongea na mama Ake fresh na hasa sikuizi ndio anaongea sana maana mama Ake nae amekua na juhudi za kupiga simu. Nafsi yake imekunjuka sikuhizi mpaka ada ana changia kwa kiasi chake.( Ila ana miaka miwili hajamuona).

hahahaha siku nami ntaandika mkasa wangu jf story. Wakusisimua huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…