Tunaorodheshwa sijui ili iweje
Nimegongewa eti tunaandikishwa kaya zote kwa ajili ya utafiti wa kilimo, nimewaambia mimi sio mkulima ila wameng'ang'ania nimewatajia jina na namba ya simu ya uongo