Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,709 Sep 5, 2025 #404,861 sumbai said: Nini hiki?? Ndio hiki watu walikuwa wanatumia kumulikia mbususu unakirudisha mezani, Unarudi tena kutafuta Click to expand... Ukienda Mwanza Kuna mtaa kabisa unaitwa Makoroboi Mikoa ya Pwani waliita Kibatari/Koroboi Ulikuwa unaweka utambi+mafuta ya taa then unawasha kwaajili ya kupata mwanga
sumbai said: Nini hiki?? Ndio hiki watu walikuwa wanatumia kumulikia mbususu unakirudisha mezani, Unarudi tena kutafuta Click to expand... Ukienda Mwanza Kuna mtaa kabisa unaitwa Makoroboi Mikoa ya Pwani waliita Kibatari/Koroboi Ulikuwa unaweka utambi+mafuta ya taa then unawasha kwaajili ya kupata mwanga
bro alex JF-Expert Member Joined Jul 15, 2025 Posts 1,898 Reaction score 2,258 Sep 5, 2025 #404,862 Kalpana said: Yeah sure...ngoja siku ya b'day yangu mwezi wa 10 nitapost Click to expand... Hongera tumezaliwa mwezi Moja mi tar 7 au tushirikiane b day Deal of millions dollars, kwishaaaaa
Kalpana said: Yeah sure...ngoja siku ya b'day yangu mwezi wa 10 nitapost Click to expand... Hongera tumezaliwa mwezi Moja mi tar 7 au tushirikiane b day Deal of millions dollars, kwishaaaaa
Kapachino JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 3,508 Reaction score 8,720 Sep 5, 2025 #404,863 Grahams said: View attachment 3466039 Enzi hizo ni mwendo wa Vibatari tu. Tulikuwa hatuwazi kwamba Umeme wa REA ungefika Vijijini kama ilivyo sasa Click to expand... sumbai hapo miguu ipo kwenye beseni la maji ya baridi full kula msuli
Grahams said: View attachment 3466039 Enzi hizo ni mwendo wa Vibatari tu. Tulikuwa hatuwazi kwamba Umeme wa REA ungefika Vijijini kama ilivyo sasa Click to expand... sumbai hapo miguu ipo kwenye beseni la maji ya baridi full kula msuli
Kapachino JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 3,508 Reaction score 8,720 Sep 5, 2025 #404,864 Grahams said: Ukienda Mwanza Kuna mtaa kabisa unaitwa Makoroboi Mikoa ya Pwani waliita Kibatari/Koroboi Ulikuwa unaweka utambi+mafuta ya taa then unawasha kwaajili ya kupata mwanga Click to expand... Hapo ndio nilianziaga kujifunza hahaha! Enzi izo nilipigwa pocket money yote
Grahams said: Ukienda Mwanza Kuna mtaa kabisa unaitwa Makoroboi Mikoa ya Pwani waliita Kibatari/Koroboi Ulikuwa unaweka utambi+mafuta ya taa then unawasha kwaajili ya kupata mwanga Click to expand... Hapo ndio nilianziaga kujifunza hahaha! Enzi izo nilipigwa pocket money yote
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Sep 5, 2025 #404,865 Kapachino said: sumbai hapo miguu ipo kwenye beseni la maji ya baridi full kula msuli Click to expand... Hahahaha noma sanaa. Shule ya msingi unasoma paka na besen?? Nyinyi ndio mlikuwa mnasomea mkoa mZima
Kapachino said: sumbai hapo miguu ipo kwenye beseni la maji ya baridi full kula msuli Click to expand... Hahahaha noma sanaa. Shule ya msingi unasoma paka na besen?? Nyinyi ndio mlikuwa mnasomea mkoa mZima
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Sep 5, 2025 #404,866 Kapachino said: Hapo ndio nilianziaga kujifunza hahaha! Enzi izo nilipigwa pocket money yote Click to expand... Makoroboi si ni chimbo maarufu la bidhaaa zetu pendwa?? Au mshalivunja
Kapachino said: Hapo ndio nilianziaga kujifunza hahaha! Enzi izo nilipigwa pocket money yote Click to expand... Makoroboi si ni chimbo maarufu la bidhaaa zetu pendwa?? Au mshalivunja
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Sep 5, 2025 #404,867 spidernyoka said: View attachment 3465979 Click to expand... Wewe hii gari inafanan na ya abduli hasani maharage kizimkazoo
spidernyoka said: View attachment 3465979 Click to expand... Wewe hii gari inafanan na ya abduli hasani maharage kizimkazoo
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Sep 5, 2025 #404,868 ephen_ said: Kha! Una makengeza? Midomo na pua si ipo wazi kabisa! Click to expand... Mimi sioni si unajua macho yangu miwani imevunjika. Hebu post bila emoji chaap
ephen_ said: Kha! Una makengeza? Midomo na pua si ipo wazi kabisa! Click to expand... Mimi sioni si unajua macho yangu miwani imevunjika. Hebu post bila emoji chaap
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 16,787 Reaction score 61,262 Sep 5, 2025 #404,869 sumbai said: Mimi sioni si unajua macho yangu miwani imevunjika. Hebu post bila emoji chaap Click to expand... Subiri hapohapo
sumbai said: Mimi sioni si unajua macho yangu miwani imevunjika. Hebu post bila emoji chaap Click to expand... Subiri hapohapo
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Sep 5, 2025 #404,870 Jerry santonga said: View attachment 3465969 Click to expand... Mzeee pande la choma lipo??? Au nundu
Jerry santonga said: View attachment 3465969 Click to expand... Mzeee pande la choma lipo??? Au nundu
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Sep 5, 2025 #404,871 ephen_ said: Subiri hapohapo Click to expand... Paka sa ngapi? Nasinzia ujue
Kapachino JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 3,508 Reaction score 8,720 Sep 5, 2025 #404,872 sumbai said: Hahahaha noma sanaa. Shule ya msingi unasoma paka na besen?? Nyinyi ndio mlikuwa mnasomea mkoa mZima Click to expand... Enzi izo pale shy shule yetu ilikua ikitoa sana kwenda secondary ni watu wawili watatu. Kwaiyo kukaza ilikua ni lazima Wilaya nzima ilikua na shule mmoja tu ya serikali nayo ni uhuru secondary school.
sumbai said: Hahahaha noma sanaa. Shule ya msingi unasoma paka na besen?? Nyinyi ndio mlikuwa mnasomea mkoa mZima Click to expand... Enzi izo pale shy shule yetu ilikua ikitoa sana kwenda secondary ni watu wawili watatu. Kwaiyo kukaza ilikua ni lazima Wilaya nzima ilikua na shule mmoja tu ya serikali nayo ni uhuru secondary school.
Kapachino JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 3,508 Reaction score 8,720 Sep 5, 2025 #404,873 sumbai said: Makoroboi si ni chimbo maarufu la bidhaaa zetu pendwa?? Au mshalivunja Click to expand... Limekufuka kitambo sana! Nilivokuwa nikienda shule bukoba kwa kina Mahondaw lazima nilikua napita. Sikummoja kidogo nipoteze mpk ticket ya meli mv Victoria Enzi hizo.
sumbai said: Makoroboi si ni chimbo maarufu la bidhaaa zetu pendwa?? Au mshalivunja Click to expand... Limekufuka kitambo sana! Nilivokuwa nikienda shule bukoba kwa kina Mahondaw lazima nilikua napita. Sikummoja kidogo nipoteze mpk ticket ya meli mv Victoria Enzi hizo.
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Sep 5, 2025 #404,874 Kapachino said: Enzi izo pale shy shule yetu ilikua ikitoa sana kwenda secondary ni watu wawili watatu. Kwaiyo kukaza ilikua ni lazima Wilaya nzima ilikua na shule mmoja tu ya serikali nayo ni uhuru secondary school. Click to expand... Noma saana mzeee. Ulikuwa ukitusua we kichwa saana.....
Kapachino said: Enzi izo pale shy shule yetu ilikua ikitoa sana kwenda secondary ni watu wawili watatu. Kwaiyo kukaza ilikua ni lazima Wilaya nzima ilikua na shule mmoja tu ya serikali nayo ni uhuru secondary school. Click to expand... Noma saana mzeee. Ulikuwa ukitusua we kichwa saana.....
Kapachino JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 3,508 Reaction score 8,720 Sep 5, 2025 #404,875 sumbai said: Noma saana mzeee. Ulikuwa ukitusua we kichwa saana..... Click to expand... Maisha haya nilikuwaga naitwa mtaalam wa maarifa ya jamii. Class letu ndio lilivunjaga rekodi kwenye history ya kufaulisha. Tulifaulu watu sita tu.
sumbai said: Noma saana mzeee. Ulikuwa ukitusua we kichwa saana..... Click to expand... Maisha haya nilikuwaga naitwa mtaalam wa maarifa ya jamii. Class letu ndio lilivunjaga rekodi kwenye history ya kufaulisha. Tulifaulu watu sita tu.
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 16,787 Reaction score 61,262 Sep 5, 2025 #404,876 sumbai said: Paka sa ngapi? Nasinzia ujue Click to expand... Sasa hivi tu
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Sep 5, 2025 #404,877 ephen_ said: Sasa hivi tu Click to expand... Bundle linasumbuaa linqisha boss
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,422 Reaction score 27,308 Sep 5, 2025 #404,878 ibumex said: irudiwe Selikavu plzzz Click to expand... Sawaa mkuu ukilud😃
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Sep 5, 2025 #404,879 Kapachino said: Limekufuka kitambo sana! Nilivokuwa nikienda shule bukoba kwa kina Mahondaw lazima nilikua napita. Sikummoja kidogo nipoteze mpk ticket ya meli mv Victoria Enzi hizo. Click to expand... 😂😂😂😂 Utundu kitambo saaana mzeee
Kapachino said: Limekufuka kitambo sana! Nilivokuwa nikienda shule bukoba kwa kina Mahondaw lazima nilikua napita. Sikummoja kidogo nipoteze mpk ticket ya meli mv Victoria Enzi hizo. Click to expand... 😂😂😂😂 Utundu kitambo saaana mzeee
win-one JF-Expert Member Joined May 28, 2024 Posts 3,011 Reaction score 9,131 Sep 5, 2025 #404,880 Selikavu said: Sawaa mkuu ukilud😃 Click to expand... nasubir