Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna mda unafika; unashindwa uchukue nini; Mimi najichukuliaga ki grand Malta changu na maji yangu over.

Tunapitia magumu sana Kuna mda unakuta ma taita uchwara wanasema Mimi na lipia bia tu soda jilipie mwenyewe haha nasemaga tumewakosea nini.
Haaahaa 😂 😁 nijambo la muda TU sisi wenyewe tulikuaga wanywa soda🥤

Mimi mpaka ma bro walikua wanasema tunawaletea nzii sababu ya soda

All in all ni jambo la mudaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…