Selfika na JF: Snap it. Show it

E enh?! πŸ€”
OkayπŸ˜€
 
Hapana mkuu, umeionaje?
Bad news man, it's Bad news. Niliwahi kuletewa na mtu nikapuliza, njiani kuna mama wa makamu alinifuata akaniambia mwanangu unanukia vizuri naomba nikukumbatie kidogo tu.
It was weird.....

Nilikuwa nikiingia sehemu tu, lazima liwe gumzo na samahani kaka umepaka perfume gani nataka nimtafutie mume wangu. Sema ni kichupa kidogo mno. Ilivyoisha nikaachana nayo nikaanza tumia CK One tu.

Itafute mzee, utanipa feedback hapa.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…