Nimemiss kisauti chako
Sunday njema kwenu.View attachment 1285364
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Nimecheka....lakini mbona sauti yako iko fresh jamani? Au kwa kuwa ilikuwa ni usiku ukawa unanidekeaHahahaha wewe nakupa muda ngoja unizoee utajua ninavyoongea yaani hadi utakuwa unaona kero kuongea na mimi,, wanaoweza kunivumilia ongea yangu ni wachache.. maana ukiachilia mbali kuongea haraka pia nina tone moja mbovu sana
Kuna siku tulikuwa tunachat kwa group nikatuma voice note aise badala ya kuendelea kujadili mada iliyokuwa mezani watu wakaanza kujadili voice note yangu eti E huyo ni wewe kweli mbona sauti mbaya hivyo,, kuanzia siku hiyo nikajiapiza kutotuma voice note kwa mtu yeyote except kwa wale walionizoea.. yaani niko radhi nishushe essay kuliko kurecord voice note
Dah.. Huo mdomo Cleopatra anasubiri stand
Transcend bado nipo na J hukuView attachment 1285658
Mchana mwemaaaView attachment 1285445
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] woii yaani pale ndiyo uliongea haraka?? Watu kama ninyi siwezagi kabisa kuwasikiliza mkiwa mnasimulia jambo yaani naona kama mnachelewa kumaliza,, kuna watu wengine wakianza kusimulia huwa nawaambia tu "hey just skip to the end"..
Njoo nikuchoree..kwa Bei nafuu tuView attachment 1285455
Aiseee ndio tunaaamka now
Asante kushukuru baba J😘😘😘 Enjoy your drinking ila usiweke vikali sana vikakusumbua asubuhi...Mzigo ulifika salama kabisa[emoji7][emoji7][emoji7]
Sema inabidi ninywe nikimaliza niweke Kilaji kikali ...ili niwe na vibe la Independence day from today.
Asante mama J View attachment 1285654
Mama mkwe wangu ni @Atoto mkuu
Niletee cha Mbeya nionje [emoji23][emoji23]
Nakutumia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka....lakini mbona sauti yako iko fresh jamani? Au kwa kuwa ilikuwa ni usiku ukawa unanidekea
[emoji23][emoji23][emoji23]na Mimi huwa nasimulia hatua kwa hatua
Kwanza story inanogaje, taratibu.
Hutaki kusikiliza basi sikusimulii
Okey.Mama mkwe wangu ni @Atoto mkuu
Kwa jinsi unavyopenda ubuyu huwezi kuacha ukupite[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] woii si unabaki na story yako tu