Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Lamomy Kwenye pita pita zangu leo si nakakutania na mtoto wa ki Kinga bana namba E safi kabisa. Hahaha nikacheka sana nikasema Mungu kaamua kusikia kilio Cha chino na hatimaye kamleta cute live.
 
😹😹😹 Ungeomba namba..!!
Mi mwenyewe leo nimekutana na gentleman kama wewe, katupia jeans na shirt white ananukia balaa..!!
 
Sasa naachaje namba!

Cha kufurahisha zaidi nilikua nimetinga Uzi wa mnyama huu mpya. Akiniambia jezi zenu safari hii nzuri nikamuambie we sio mnyama kwani akaniambia aku yeye ni uto haha nikamchombeza na ulaya akasema washika mtutu wa London.

Nikasema hii lazima nije nikuadisie
 
😹😹😹 Kwahiyo unaconnect dot chino 🤣
 
😹😹😹 Ungekomaa, ona sasa ushamkosa ndege..!!
Ukishachukua number; unajifanya Gentlemen unapunguza pupa. Soon tutaanza kufundishana ki Kinga hapa.

Afu makete_njombe huko ni baridi sana au mnakunywa maji sana kama ray kigosi. Huyu pia rangi ya yusuph ipo sana si haba
 
00000IMG_00000_BURST20250904124505628_COVER.jpg
 
Back
Top Bottom