Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,078
- 95,691
Kinacho kuchekesha kenge maji 🤣Mucho Gracias 🤣
Kinacho kuchekesha kenge maji 🤣Mucho Gracias 🤣
Umeitoa wapi hii picha kamanda??ma jobless pro max
dosho12, Edo kissy, Razorblade, Selikavu, Vishu Mtata
Bon appetit comrades
View attachment 3464761
Wanawake wanapika kimazoea sana aisee.Huku uki sema nime chafua tumbo langu, it happen sometimes una kula msosi wa ajabu ajabu
Hayo maufundi hayahitaji uende veta 😂Mucho Gracias 🤣
Kwa jirani yangu,nilipo enda kuulizia deal ya kudeki broUmeitoa wapi hii picha kamanda??
kuna mmoja ana pika, arghh au basi 😂Wanawake wanapika kimazoea sana aisee.
Unapenda misosi kinoma mzee🤣Kinacho kuchekesha kenge maji 🤣
Sijafika stage ya kupika hivyo 😃😃Hayo maufundi hayahitaji uende veta 😂
Starehe zangu kula, kuangalia movie, kusoma vitabu na kucheza game 😂🦅Unapenda misosi kinoma mzee🤣
Mnakula mema ya nchii peke enuu😔😴😣ma jobless pro max
dosho12, Edo kissy, Razorblade, Selikavu, Vishu Mtata
Bon appetit comrades
View attachment 3464761
Unakula ili upoze njaa tu 😂kuna mmoja ana pika, arghh au basi 😂
Basi unasafari ndefu sana, fanya uoe tu sasa 😂😂😂Sijafika stage ya kupika hivyo 😃😃
ahh wapi, maisha ndio haya haya.Mnakula mema ya nchii peke enuu😔😴😣
Naunga hoja, mama sk cocastic ume semewa huku 😂🦅Basi unasafari ndefu sana, fanya uoe tu sasa 😂😂😂
Umechomoa betri 😂Naunga hoja, mama sk cocastic ume semewa huku 😂🦅
Hapa na njaa sijala kabisa na pesa sina Nina vipengeleee huu mweziii akiii yaanii😔🥺ahh wapi, maisha ndio haya haya.
🌝😊Dr am 4 real PhD nimekuona bonge la HB ndugu yako asingeniwah ningekupa mdogo wangu🤗