Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,413
- 94,790
Unakunywa pombe gani meku 😹Lamo pombe tamu leo nimewaka mbaya mbovu arifu😅
Unakunywa pombe gani meku 😹Lamo pombe tamu leo nimewaka mbaya mbovu arifu😅
😅😅😅😅 nakunywa tu hata sijui tena, mwendo wa nyama na pombe tu aseeee🤣🤣🤣Unakunywa pombe gani meku 😹
Weka DrNaweka mimi
Ebu niweke 10k nikanunue unga wa ugali sijalaMdogo angu 😁 Monetary doctor , Jana nilimwambia natembea juu ya mayiii 😂🤣
Nili MAANISHA nipo napiga pombe mdogo angu😊🥺
Amani itawaleee
Nimewaka hatari😛😛😛Tuone picha za kwenye ubwabwa
Hujawaka! Ungewaka ungekua ushachafua selfikaNimewaka hatari😛😛😛
Nimewaka hatariHujawaka! Ungewaka ungekua ushachafua selfika
Hujala 😳Ebu niweke 10k nikanunue unga wa ugali sijala
Kesho naku tag, naogopaga sanaa nisije tekwaa/ kukutwa na ndugu zanguuWeka Dr
Halafu sijawahi ona selfie yako
Unaweka na kufuta Mkuu.Kesho naku tag, naogopaga sanaa nisije tekwaa/ kukutwa na ndugu zanguu
Leo natimiza ahadiiiUnaweka na kufuta Mkuu.
Hakuna wa kukuteka..
Sisi wote badi tungekuwa tushakutwa😁
Unaweka muda gani?Leo natimiza ahadiii
Jioni jionii mpaka saa mbili usikuuUnaweka muda gani?
Ndiyo bruh 😩😩Hujala 😳
Sawa...Ndiyo bruh 😩😩
Daaah unaua kabisa aaaniSawa...
Usijar kaka tutachekiana kakaDaaah unaua kabisa aaani