trudie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 4,546
- 11,131
Tena hii wiki kumepoa kabisa nikitulia nikatafute kaburi la kufukua....haiwezekani kuwe na amani kiasi hikiYani hapo bora tunyimwe chakula sio ubuyu 😹😹😹
Tena hii wiki kumepoa kabisa nikitulia nikatafute kaburi la kufukua....haiwezekani kuwe na amani kiasi hikiYani hapo bora tunyimwe chakula sio ubuyu 😹😹😹
😹😹😹Woteee!! 😂😂😂😂
Niko busy hii week udugu hata sijawafatilia, wanagombania nini tena? 😹😹😹😂😂😂😂😂
Udugu unafuatilia mtifuano wa Anko T na Giggy?
Full udambu udambu, mara nyampua niffer, mara masha manyonyo, full tafraniii.
😂😂
Mchina anafunga kiwanda 😹😹Bei ya kufunga store, 😂😂😂😂
Na huo ndio ukweli 😹Mimi nimechagua kumuamini Lamony ndugu yangu
😹😹😹 wa mkopo🤣Au Asake wa kulipia kidogo kidogo kwa Muha
Tumewaachia sana wananenepeana 😹😹Tena hii wiki kumepoa kabisa nikitulia nikatafute kaburi la kufukua....haiwezekani kuwe na amani kiasi hiki
😂😂😂😂😂 hatariiiiiMchina anafunga kiwanda 😹😹
Ila tutapigwa mjue nyie 🤣
Anafata nyayo za babu snoop 🫢
Em uende insta, ukajionee mtu na udugu wake wanavyotoleana ya siriniNiko busy hii week udugu hata sijawafatilia, wanagombania nini tena? 😹😹😹
😂😂😂😂😂Tumewaachia sana wananenepeana 😹😹
Inatakiwa wawe na Pepsi pembeni za kushusha presha 🤣
😂😂😂😂😂Au Asake wa kulipia kidogo kidogo kwa Muha
😹😹😹 Noma sana ngoja nikawacheckEm uende insta, ukajionee mtu na udugu wake wanavyotoleana ya sirini
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂 hatarii huko😹😹😹 Noma sana ngoja nikawacheck
Ukimuangalia dj sinyorita vizuri! Unamuona lomomy ndani yake.Mimi nimechagua kumuamini Lamony ndugu yangu
😹😹😹 Sema kweli?Ukimuangalia dj sinyorita vizuri! Unamuona lomomy ndani yake.