Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kamati ya wambea kazini hapo mrs none anawaza jinsi ya kuja kutoa mabomu achafue hali ya hewa kasura tuu kanaonyesha hajali. Tena na wewe Lamo upo makini kufwatilia mafile ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ . Coca ndio mfungua code mwenyewe tutanenepea nini na muda wote tunawaza umbea tuu
Yani hapo bora tunyimwe chakula sio ubuyu ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Na joto hili hapana ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Yani mimi hata kuvaa nguo nyingi mwilini siwezi itakuwa kigodoro ๐Ÿ˜น
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Udugu unafuatilia mtifuano wa Anko T na Giggy?
Full udambu udambu, mara nyampua niffer, mara masha manyonyo, full tafraniii.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Udugu unafuatilia mtifuano wa Anko T na Giggy?
Full udambu udambu, mara nyampua niffer, mara masha manyonyo, full tafraniii.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Umeanzisha vita wapi tena??

๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
 
Back
Top Bottom