Selfika na JF: Snap it. Show it

woii yaani pale ndiyo uliongea haraka?? Watu kama ninyi siwezagi kabisa kuwasikiliza mkiwa mnasimulia jambo yaani naona kama mnachelewa kumaliza,, kuna watu wengine wakianza kusimulia huwa nawaambia tu "hey just skip to the end"..
Kwa hayo maaelezo
Staili ya uandishi wako
+Ile voice note yangu pale nilijitahidi kuongea haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…