Selfika na JF: Snap it. Show it

Huyu mrembo ni nani, Chica Gee ? Vijana mnafaidi sana, mzee mwenzangu Grahams naamini tumeshatundika dalugaπŸ˜…
Mzee mwenzangu pamoja na kwamba hayo mambo tumestaafu kutokana na Umri, lakini nimeshindwa kujizuia kusifia hizo lips laini na hiyo chocolate color

Nimelazimika kuvaa miwani yangu ya macho ili niweze kuona Kwa ukaribu

To be honest, miaka hii PisiKali ni nyingi kuliko Mwaka 47

Nadhani hii mixing ya Baba Mkurya anaenda Kuoa Mrangi ndiyo inatuletea haya matunda πŸ€—
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…