Mbege nyekundu๐ ๐ umepigwaNi yenyewe min,. Kwanini?,๐ View attachment 3450110
Huwaga ni ya rangi gani kwani?๐Mbege nyekundu๐ ๐ umepigwa
Huwaga ni ya rangi gani kwani?๐
Mbona kama juice cola, orange flavour ๐Sema wachaga mbege mnaisifiaga Sana,. Anyway ni tamu Gily Gru View attachment 3450109
Anadai ni mbege eti๐ wamekula pesa yake ya bure bwasheeMbona kama juice cola, orange flavour ๐
Hiyo inaonekana nzito,. Basi huku hawajui kutengeneza maana ni nyekundu halafu nyepesi,.
Halafu ni buku eti๐ญ๐Anadai ni mbege eti๐ wamekula pesa yake ya bure bwashee
Assume umetoa sadaka kwa viwete wasioweza tengeneza mbege๐Halafu ni buku eti๐ญ๐
Hakuna mbege ya hivi aisee, amepigwa mchana kweupe ๐Anadai ni mbege eti๐ wamekula pesa yake ya bure bwashee
Mbona ulezi sioni? Sio chai ya Tangawizi au rozela unaongeza damu๐Sema wachaga mbege mnaisifiaga Sana,. Anyway ni tamu Gily Gru View attachment 3450109
wapi hiyo mkuu
Zenu mbona zinaonekana nzito na nzuri jamani.,Nifundishe basi gily kupika mbege nzuriHii nilipik mwenyew nikatia kweny fridge mwaka juzi @ Leejay View attachment 3450136
Dah๐๐Mbona kama juice cola, orange flavour ๐
Hata huko uchagani sio sehemu zote unaweza kupata kitu og ni machimbo maalumu na kwa watu maalumu tu๐Zenu mbona zinaonekana nzito na nzuri jamani.,๐
Hahaha ๐ ๐,. Naona haina hata hizo vidude vya kuvipuliza iko Tu plainAssume umetoa sadaka kwa viwete wasioweza tengeneza mbege๐
Kwanza ukinywa mbege yenyewe lazima macho ya funguke kama kina Adam na hawa walivyokula tundaHahaha ๐ ๐,. Naona haina hata hizo vidude vya kuvipuliza iko Tu plain
Weee sema kweli,. Hiyo ulitengeneza mwenywe au amenunua?Hata huko uchagani sio sehemu zote unaweza kupata kitu og ni machimbo maalumu na kwa watu maalumu tu๐
Eti kuna mtu anakunywa mbege analewa?, seriously?Kwanza ukinywa mbege yenyewe lazima macho ya funguke kama kina Adam na hawa walivyokula tunda
Hueleweki, mimi sijui km anko t shoga ndiomana nimekuuliza..!!Hahaaaa usha sahau mara hii tu umenambia nani kanambia kuwa anko t ni shoga, na uhakika Gani saivi Tena umeruka ok tuyaache
Fullstop, kwishaaaa