Nimepata jirani sasa nichangie shukaKata kona hapo round about njoo Kifuru
Kumbe upo Dar 😩🤔Ahaha nisamehe siku yangu leo ili kuwa ngumu sana
Wacha leo nijichukulie sheria mkononi😅Usifanye hayo em
Inategemea unakosa pesa kiasi Gani.Una jali kuwa na pesa au kuto kua nazo? Maisha ni haya haya mimi nikikosa pesa kwanza ndio najiona nakua na akili timamu, maisha leo unapata kesho unakosa , wala hakuna kujifananisha ni ku fokasi tu na mambo yako😇
Ndio ndioUna jali kuwa na pesa au kuto kua nazo? Maisha ni haya haya mimi nikikosa pesa kwanza ndio najiona nakua na akili timamu, maisha leo unapata kesho unakosa , wala hakuna kujifananisha ni ku fokasi tu na mambo yako😇
Ndio ila mambo mengi kaka sijatulia badoKumbe upo Dar 😩🤔
Kwaheri.Haswaaaaa na huko nyuma mimi ndio napataka haswaa ebu rudia sikuwepo😋😋😋😋
Aloo 😍😍😍🔥🔥Afu hiyo si ile nilokuwa nimeweka mwanzo😀
Nimegoma kusuka et kama we ulivyogoma kupata kitambi
View attachment 3445445
JamaniWacha leo nijichukulie sheria mkononi😅
Jirani uwe unanikaribisha kuonja mapishiNimepata jirani sasa nichangie shuka
Depal
Mimi nilipata kitambi Cha profesa
Na katwiga cement kwa mbali
Ila sasahivi sina hela,nimerudi tena kulekule kwenye 55.
Byurifuuu Depo😂😂
Asante kwa kurudia Dada Dimpoz
Daaah we jamaa, unazingua sanaNdio ila mambo mengi kaka sijatulia bado
😅Jamani
Sabato si imepita juzi tu hapo
Weka basi juicy curly kama ni natural hairAloo 😍😍😍🔥🔥
Nywele umewekaje?
Tuzuri sana
Mm pia nimenyoa ila ngumu kama katani 😂😂😂kuchana ni mshikemshike
NtajaribuWeka basi juicy curly kama ni natural hair
Utawakaa
Mawimbi mawimbi mda wote
Unakuwa msomali wa mchongo