Shindii selfika basi.Shindii Pombe sio chai๐
Dogo hujambo?
Mhmm kwamba hauonagi?Shindii selfika basi.
Sionagi, mie huku nakuja nikiitwa au kukiwa na majanga๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃMhmm kwamba hauonagi?
Huogopi laana za WazeeDogo hujambo?
Mzee gani anavaa jeans za watoto๐โโ๏ธ๐โโ๏ธHuogopi laana za Wazee
Huyo ni last born wangu Mwaka 47Mzee gani anavaa jeans za watoto๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ
Uzi upi tena?Watu wamejikita kwenye uzi wa violence mama
kumbe Jf kuna vijana kabisa, huwa nahisi kila mtu ni mzee kama mimiJana watu walikuwa wananiambia nimevaa kama mwandishi wa habari.Hakika nilifurahi mnoo.View attachment 3444055
38 hiyo ndio nshakuwa mzee na mimi.kumbe Jf kuna vijana kabisa, huwa nahisi kila mtu ni mzee kama mimi
Am here babe, am waiting...100 others nataka kupita naked ayu zea?
Hapana hebu rudia..100 others umeona? ๐