Selfika na JF: Snap it. Show it

Mie niko poaa kabisaa, naona Like lecturer hapo mbelee anamwaga madini.
Huyo alikuwa sehemu ya wawezeshaji

Inashauriwa ili kuwepo na tija eneo lako la kazi, inahitaji kujengewa uwezo mara kwa mara ili kuendana na wakati

Kama bado upo Mjini, fanya mpango kesho unipitie unipeleke Mjini

Babu yako, naona muda wa Kliniki ya macho umekaribia
 
Nipe loc bas, nikupitie ili twende town.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…