Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuandika kimatani kuwa nilishawahi kuonana na wewe ndo kosa langu kuu lililopelekea ukasirike na uandike hili gazeti?

Aaaaaah!! cocastic kuwa na moyo mpana bhasi rafiki yangu nilikuwa kwenye utani japo umesema hujaniweka kwenye utani

NAKUOMBA UNISAMEHE BURE NA UENDELEE KUNIHESHIMU
 
Wee ni mgeni na JF? tena km huu uzi, si drama na njegeka zote ulikua unashuhudia? Leo uweke utani kuwa tunajuana nje ya hapa? Ili iweje? Huoni km itakua tatizo huko mbelee?

Mie sahivi sitaki drama za JF zinikutee, najiepusha nazo.

Nitakuheshimu sana tena zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…