Selfika na JF: Snap it. Show it

makaveli10
Em tuma za karibuni, hizo zamani vipii? Lol.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sijapiga picha mwaka wa ngapi sijui huu... Mie na camera 🀳 hatuna uswahiba kwa kweli.

Hapa nilikuwa namaliza kiporo na binti wa zamani, nilale kwa amani nisine ota nimekabwa mtu anadai picha
 
Sijapiga picha mwaka wa ngapi sijui huu... Mie na camera 🀳 hatuna uswahiba kwa kweli.

Hapa nilikuwa namaliza kiporo na binti wa zamani, nilale kwa amani nisine ota nimekabwa mtu anadai picha
Khaaah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ jamani huyo msukuma aniachee, aliniona wapiii?
Alikuja Dar mara 2, had akapataga na ajari, na hakuwahi kuniona.

Asemee tulipokutanaa, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Duh!!kumbe una kumbukumbu na mimi na hilo tukio la ajariπŸ˜…

MUNGU ni mwema nilipona majeraha rafiki yangu

Siyo kukuona tu,mimi nakujua wewe nje ndaniπŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…