makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,453
- 108,534
Utahamia wapi wewe, kubaliana na uhalisia...Sitaki na team lenyewe nahama..!! ๐
Team gani kila msimu linakosa hata kikombe cha chai..! ๐น
Bora niende Man City ๐นUtahamia wapi wewe, kubaliana na uhalisia...
Timu letu linacheza vizuri ila vikombe 0
๐๐คฃ
Hamia manjesta kumenoga๐Bora niende Man City ๐น
Arsenal wanaboa sana, basi tu hili timu alinirithisha Mzee sina namna ila ningeachana nalo..!! ๐น๐น
Jamani jamani ๐๐๐Bwanga๐คฃ
โView attachment 3439096
Hao mataputapu kabisaaa bora nibaki The Gunners ๐นHamia manjesta kumenoga๐
Msimu huu tunabeba๐Hao mataputapu kabisaaa bora nibaki The Gunners ๐น
Usiachane nalo, ukiliacha unaniachia na nani, baki tulifungwa tupeane pole tukishinda shereheBora niende Man City ๐น
Arsenal wanaboa sana, basi tu hili timu alinirithisha Mzee sina namna ila ningeachana nalo..!! ๐น๐น
Anatoa pumbu anaweka mshipa ๐๐คฃHamia manjesta kumenoga๐
Labda mimba mkuu ๐๐คฃMsimu huu tunabeba๐
Ras ๐๐ฅฐBwanga๐คฃ
โView attachment 3439096
ngoja nipigeJamani jamani ๐๐๐
Likaka lisafi linanukia mpk huku nilipo smell imenifikia ๐ป
Nyie kuna wanawake wamezaa buana ๐
Wewe makaveli10 umeona wenzio huku wanatupia pic bila kuleta maringo..!!
Haya unga hapa hiyo pic yako chap ๐คฃ
Manjesta tunarudi na tutaua mtu.A
Anatoa pumbu anaweka mshipa ๐๐คฃ
๐น๐น๐น Maka kasema labda mbebe mimba eti..!!Msimu huu tunabeba๐
๐น๐น๐นUsiachane nalo, ukiliacha unaniachia na nani, baki tulifungwa tupeane pole tukishinda sherehe
20211 bado haijafika mkuu.Manjesta tunarudi na tutaua mtu.View attachment 3439136
๐น๐น๐น Maka kasema labda mbebe mimba eti..!!
Makubaliano ilikuwa tukichukua kombe..๐น๐น๐น
Jezi mpk leo imekuwa story sitaki..!!
Tena lia lia na weza ua mtu kabisa chica๐๐kumbe na wewe Man Utd?