makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,450
- 108,531
Mbona ilikuwepo hapa, wacha zako basi.. ulilala?Iko wapi? Maka acha uhuni basi π₯
Yess naona mama na watoto wamejisitiri safi kabisaa.Saint sana, kabla ya hiyo safari kuna picha nilipoga nikiwa na kibaraghashia, ostadh swaafi kabisa.
π
Vitoto vyako vyote navipenda, ni vi cute vyenyewe.Hahahaaa umekapenda eh? Kazuri ila kana vurugu balaa!
Ndio, ni muislam.Yess naona mama na watoto wamejisitiri safi kabisaa.
Afu kumbe wee ni Muslim?
Noope! Sikuwahi waza kuhusu dini yako.Ndio, ni muislam.
Ulidhani dini gani?
Ndio mimi ni muislamNoope! Sikuwahi waza kuhusu dini yako.
Just hapa niliuliza tyuuh, ulivyo sema kuhusu bharakhashia ulivaa.
Yapi hayo?ππππ nili enjoy mahusiano Yale.
Weka tena maka I swear sijaona mtu wangu.!! π₯Mbona ilikuwepo hapa, wacha zako basi.. ulilala?
πΉπΉπΉ Sitaki banaUduguu vibaya hivyo, hadi mie? ππππ
Sijapentraaaa!!!
Kweli tena πΉπΉFala sana wewe
Hata siku moja haitotokea πΉπΉπΉ100 others kashafanya yake sio?
Jamani mi mbona nimeikosa π₯Yess naona mama na watoto wamejisitiri safi kabisaa.
Afu kumbe wee ni Muslim?
Basi usiwaze, nikitulia nitakuwekeaWeka tena maka I swear sijaona mtu wangu.!! π₯
Unishtue sasa maka π₯²Basi usiwaze, nikitulia nitakuwekea
Kiongozi kuna nini tena?100 others kashafanya yake sio?
Asante babe..Kama kosa la macho π₯Ή
Hata mkiziba nsimuone π
Ndani ya moyo wangu namuona yeye β€οΈπ
Oooh kimaso maso wenye wivu mukome π
Mtaambulia matandu solo nala na yeye π»
Na mkisema ananichuna ntampa paka BOTπ°
Kama penzi taaluma basi ye ana degree π
Kwake simezi mezi azuma kitu swafi og π
Midomo itawanuka kwa kununa π
Mngetafuna ata bigijiiβ¦. π‘
Mapenzi matamu bhana, sijui nimtag..!! πΉπΉπΉ
Hebu nielezee kidogo udugu, huyu kiumbe natamani nimuone mana ananichekesha sana na mambo yake..!! πΉπΉmakaveli10
Mbona umefuta chaapu, ila umeweka naked kabisaa, thou ni ya zamani.
Unaonekana ulikua kiwembee sanaa wee wakati wako.
πππππ
Wala sio wewe πΉπΉπΉAsante babe..
i love you too ππWala sio wewe πΉπΉπΉ