Kama kosa la macho ๐ฅน
Hata mkiziba nsimuone ๐
Ndani ya moyo wangu namuona yeye โค๏ธ๐
Oooh kimaso maso wenye wivu mukome ๐
Mtaambulia matandu solo nala na yeye ๐ป
Na mkisema ananichuna ntampa paka BOT๐ฐ
Kama penzi taaluma basi ye ana degree ๐
Kwake simezi mezi azuma kitu swafi og ๐
Midomo itawanuka kwa kununa ๐
Mngetafuna ata bigijiiโฆ. ๐ก
Mapenzi matamu bhana, sijui nimtag..!! ๐น๐น๐น