ππ€£π€£ Hapana.πulisubiri tulale?
Wapi huko nami nije kuishi!!Huku porini elfu 9
Na chenji inarudi yaani
Umeshampa uji?
Hakikisha ukoo mzima upo hairudiwi .Nishafika gentleman π
Weka nikuone mchizi wangu..!!
Tayari keshanyonya niko nambembeleza alale hapa,...Umeshampa uji?
Vyema sana..Tayari keshanyonya niko nambembeleza alale hapa,...
Mda wa Uji bado
Nzuriii sanaaKule napapenda ndio jukwaa lilofanya nikajiunga JF πΉ
Umeanza ngonjera wewe weka nitawasimulia πΉπ€£Hakikisha ukoo mzima upo hairudiwi .
Ulilelewa kwenye zile extended family..
Nyumba moja watu 17, msosi ukipikwa unawekwa kati mnaitajq wooote, asiyekuwepo tunasema nw lwke halipo.
Mtembezi hula miguu yake.
Jirani una mtoto? ππ
Maisha ni mepesi sanaWapi huko
Wapi huko nami nije kuishi!!
Mpwa wangu huyo π..Jirani una mtoto? ππ
π€£Umeanza ngonjera wewe weka nitawasimulia πΉπ€£
Huko ili uinjoi, uwe na mipango ya pesa town.. miamala inasoma halafu unaishi huko, utainjoi sana maisha.Maisha ni mepesi sana
Ila pia mzunguko wa hela ni mdogo
Ila imekuwaje? π€ πππ€£π€£ Hapana.
Imetokea tu πIla imekuwaje? π€ π
Hahahaha kwa nini umeuliza bwashee πBrother π avatar Yako ni pirate of Caribbean kwa nini uli amua kuiweka kaka.
Wape hongera Wazazi/Walezi wake, mtoto anaonekana mwenye afya tele.