Selfika na JF: Snap it. Show it

😹😹😹 Mwachi akiona pesa anachanganyiwa..!!

Hiyo afu mbili mbona unyama unanunua bamia unakoroga mlenda ki waifu material kabisaa..!!
Bajeti ya 2000
Dagaa za jero
Bamia 200
Nyanya chungu 300
Nyanya 300
Kitunguu 100
Unga wa dona robo 700
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…