min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,632
- 164,966
Nimechelewa sana kuijua 😅😅😅😅Punguza sauti bhaasiiiiii 🤣
Why not? kula raha mkuu!
Nimechelewa sana kuijua 😅😅😅😅Punguza sauti bhaasiiiiii 🤣
Why not? kula raha mkuu!
Mtoto wangu alinitengenezea account huko tufanye kitu kinaitwa streaks (kutumiana msg / videos).Nimechelewa sana kuijua 😅😅😅😅
HahahahahaMtoto wangu alinitengenezea account huko tufanye kitu kinaitwa streaks (kutumiana msg / videos).
Usipokaa vizuri unaweza kupoteza the whole day kwenye hiyo app, nimeidelete 🤣
Ni kazuriiiiiii.Kiongozi hao mbona kama wanafunzi wa secondary
Safi mtoto mzuri
Umeona vidole tu, tayari 🤣Safi mtoto mzuri
😊Kaka anguSafi mtoto mzuri
Humu mnatubania sana asee🤣Umeona vidole tu, tayari 🤣
Dada yangu huyo😊😊Kaka angu
Kumbe😅Hiyo emoj inakukosesha pumzi 🥰🤠
Selfika kwanza mkuu"...furaha' itapatikana wapi wakati waTanzania wanafanyiwa uovu toka kwa watu walio amini kuwapa uongozi ili wawatumikie; na sasa wanalazimishwa kukubali waendelee kuwa madarakani?
Hakuna furaha, mpaka Tundu Lissu aachiwe toka gerezani.
Hakuna furaha hadi GENGE la Samia liondoke madarakani
Hakuna furaha wakati raslimali za nchi yetu zikifujwa hovyo
Furaha itatoka wapi wakati waTanzania wanageuzwa kuwa watwana wa watu wengine.
Tanzania tutakuwa na furaha tukisha maliza kazi ya kulitokomeza GENGE la Samia Suluhu Hassan.
Si ndiyoKumbe😅
Useme haujaonaSelfika kwanza mkuu
Wakati unaendelea kutokomeza genge