Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,277
- 95,562
Tupe na sisi locationDr. Mariposa niko ndichi shosti 😹
Nikupe location?
Tupe na sisi locationDr. Mariposa niko ndichi shosti 😹
Nikupe location?
Kalale, uta selfika baadae 😁Na uzee huu😂
Hahahaha,mie naenda na Zara ,walau kdg UmmyVipi Zai😂
Zara hatari,weka namba zakeNaona anatajwa sana huyu😀
Itakua vzr ale ale kdg, kabla ya wajumbe hawajazimalizaWill do ze needful😀
Zara apewe mitano ikimalizika aongezwe kumi tena.Naona anatajwa sana huyu😀
Kiongozi hao mbona kama wanafunzi wa secondaryZARA ANA LIPS FLANI HIVI ZA KUTELEZA NAZO.
Daah unaangalia nini huko?Siku hizi nimegundua tiktok , nikiwa free napoteza mda mwingi huko🤣
Warembo wanatikisa makalio sio poa🙄Daah unaangalia nini huko?
Nilijua tu Mangi utakua umenasa kwenye makalio huko 🤣 🤣Warembo wanatikisa makalio sio poa🙄
Sasa humu mtu anaweka picha nakujificha kama muuza bangi ? Si bora nitumie kifurushi changu kihalali tiktok 😅😅😅Nilijua tu Mangi utakua umenasa kwenye makalio huko 🤣 🤣
Punguza sauti bhaasiiiiii 🤣Sasa humu mtu anaweka picha nakujificha kama muuza bangi ?
Why not? kula raha mkuu!Si bora nitumie kifurushi changu kihalali tiktok 😅😅😅