kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 6,142
- 15,759
Kama sio ule uzi rasmi, hapa ningetoka bila bila 😃View attachment 3418156
Otea hapa kinaenda tokea nini?
Chica Gee shibela Antonio de Guzman kitalembwa Half american Lamomy

kimbembe kizito, hapo ninge potea mwenyewe 😂Yani muda unataka kutoroka na familia na ukusanye pesa zako kumkimbia mtu hatari drug lord anayetaka kuwaua, mkeo anakuambia amempa jamaa pesa ambae ni mchepuko wake alikuwa anamla... lazima akili ziruke..
Mshana aseme hilo guu kalitolea wapi 😀Hakuna fundi mwingine humu wa kupaka Henna tattoo... kazi nzuri by the way..
Pole Mkuu kukwazika!Unafakamia hayo macholesterol halafu mwanaume unaposti? Chakula cha watu masikini na homeless kule US? Kweli ushamba ni mzigo hata ukiwa na vihela. Exposure muhimu sana aisee!
Na hivi ndivyo inavyokuwa na hapa ndiyo neno uzee ni dawa lilipochukua hatamu katika majibu haya .Pole Mkuu kukwazika!
Kwa uzoefu wangu humu wa miaka 13, mtu anaweza kupost yupo Kigoma, kumbe yupo Botswana, ama mwingine akapost Mkono wa kike, kumbe nje ya Keyboard ni Mwanaume
Mwingine kupitia maandishi yake humu, mkadhani ni Kijana wa miaka 30, kumbe ni Mzee wa miaka 63
Wengine tunaweza kupost tunakunywa Chai holiday inn hotel, kumbe tupo tunafakamia mihogo ya kuchemsha huku Ifakara
Mathalani, nimepost hiyo picha lakini mlaji alikuwa ni mtu mwingine tu
Sisi Wazee kazi yetu ilikuwa kulipa bill tu 😜
Hoja yangu ni kwamba, ili kuendana na maudhui ya mada tajwa, hadhira ya hapa chitchat huposti picha yoyote ili kuibua mijadala na kusogozana tu.
Usingestahili kumjibu huyo mpuuz mkuu ! Ujue watu life taiti mpaka mda wote kila kitu kwake ni hasira , just relax, amefata hili jukwaa kufanya nini? Anajua maudhui yake ? ,,,,Pole Mkuu kukwazika!
Kwa uzoefu wangu humu wa miaka 13, mtu anaweza kupost yupo Kigoma, kumbe yupo Botswana, ama mwingine akapost Mkono wa kike, kumbe nje ya Keyboard ni Mwanaume
Mwingine kupitia maandishi yake humu, mkadhani ni Kijana wa miaka 30, kumbe ni Mzee wa miaka 63
Wengine tunaweza kupost tunakunywa Chai holiday inn hotel, kumbe tupo tunafakamia mihogo ya kuchemsha huku Ifakara
Mathalani, nimepost hiyo picha lakini mlaji alikuwa ni mtu mwingine tu
Sisi Wazee kazi yetu ilikuwa kulipa bill tu 😜
Hoja yangu ni kwamba, ili kuendana na maudhui ya mada tajwa, hadhira ya hapa chitchat huposti picha yoyote ili kuibua mijadala na kusogozana tu.
Shukrani Mkuu, ndiyo maana Mvi zinazidi kuniandama Mzee Mimi 🤗Na hivi ndivyo inavyokuwa na hapa ndiyo neno uzee ni dawa lilipochukua hatamu katika majibu haya .
Shukrani Mkuu, kama ulivyosema Kuna baadhi ya members humu wamekuwa sharp sana ku-react negative kwenye michango ya wenzaoUsingestahili kumjibu huyo mpuuz mkuu ! Ujue watu life taiti mpaka mda wote kila kitu kwake ni hasira , just relax, amefata hili jukwaa kufanya nini? Anajua maudhui yake ? ,,,,
Vitu vingine ni kusogeza time tu, kama ulivyosema vichache sana vinapostiwa humu vikiwa mahususi ama uhalisia 100% !
Dah ume ua mende kwa kutumia bundukiPole Mkuu kukwazika!
Kwa uzoefu wangu humu wa miaka 13, mtu anaweza kupost yupo Kigoma, kumbe yupo Botswana, ama mwingine akapost Mkono wa kike, kumbe nje ya Keyboard ni Mwanaume
Mwingine kupitia maandishi yake humu, mkadhani ni Kijana wa miaka 30, kumbe ni Mzee wa miaka 63
Wengine tunaweza kupost tunakunywa Chai holiday inn hotel, kumbe tupo tunafakamia mihogo ya kuchemsha huku Ifakara
Mathalani, nimepost hiyo picha lakini mlaji alikuwa ni mtu mwingine tu
Sisi Wazee kazi yetu ilikuwa kulipa bill tu 😜
Hoja yangu ni kwamba, ili kuendana na maudhui ya mada tajwa, hadhira ya hapa chitchat huposti picha yoyote ili kuibua mijadala na kusogozana tu.
Hahaha.........nilikuwa naweka rekodi sawa tuDah ume ua mende kwa kutumia bunduki
NdiwoooMwanza
Kwa sisi tunao penda kusoma au kuandika, hiyo style uliyo itumia ni deadly Sana.Hahaha.........nilikuwa naweka rekodi sawa tu
Si unajua haya maandishi yetu yataishi humu hata baada ya sisi kuondoka
nimepitwa.. sipepesi kope.. irudiwe..Na picha🐒🐒
😁😁😁😁!nimepitwa.. sipepesi kope.. irudiwe..
Leo ndipo nimegundua kwanini jamaa anaku tag kila nyuzi..
😁😁😁😁😁!Leo ndipo nimegundua kwanini jamaa anaku tag kila nyuzi..