Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Naama ya mbabe Brad Pitt, sema nafagilia need for speed ya jesse wa kwenye breaking bad.
breaking-bad-pontiac-aztek.jpg

Hopefully unaikumbuka hio chuma.... 😂
Hivi kuna need for speed amecheza Jesse, ni ya mwaka gani?
 
Likely shida ni P. Diddy. Akina Mondi walikaribishwa chumbani ila hawakuingia japo baadaye walifanya mambo ambayo ni siri. Yeye huyu na gauni alivaa na mihereni akavaa na kujipodoa juu. May be his time for fame is up!
Hivi kama ni kweli PDidy anawafanyia hivyo ina maana akiwafanyia anawapa pesa? au inakuwaje? PDidy nimganga wa kienyeji, agent wa shetani ama? huwa sielewi hapo...
 
Back
Top Bottom