Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,443
Mimi nime vamia pagale la udongo huku nanjilinji, hapa nalala kama msukule π¦πΉπΉπΉ Mi naishi chumba cha giza kodi kwa mwezi elfu 15 na bado tunasumbuana na landlord π€£
We nae vipi mabusu ya nini tena π€ππ
Tukalale basiWe nae vipi mabusu ya nini tena π€
Niende wapi mimi zaidi ya kupigwa na jua kkoo..!! πΉπΉWewe Kila nikikuambia unipeleke huko unapoendaga unanikwepa.
Shida Ni nini lakini mchuchu.
Huogopi snake? πΉMimi nime vamia pagale la udongo huku nanjilinji, hapa nalala kama msukule π¦
πΉπΉπΉ Karibu had ndani, nikutandikie red carpet upite mheshimiwa? π€£hahaha embu nifungulie mageti basi hayo. Acha ukorofi
Usi nirushie stimu, nanjilinji hatu pokei mizimuTukalale basi
Wifi muda ndo huu weka pic basi πTukalale basi
Hiyo ni mboga π¦Huogopi snake? πΉ
Nitaweza gombania kweli mwendokasi?Niende wapi mimi zaidi ya kupigwa na jua kkoo..!! πΉπΉ
Njoo tuuze vijora kipenzi..!!
Hamna kitu hapo, acha kumuita wifi maana sija kutambulisha bado.Wifi muda ndo huu weka pic basi π
Mwambie wifi aselfike basi πΉHiyo ni mboga π¦
Kuna utambulisho gani zaidi ya huu.au kuna jambo wataka kunifanyiaHamna kitu hapo, acha kumuita wifi maana sija kutambulisha bado.
Tatizo wewe wa kishua si unaona sasa? πΉπΉNitaweza gombania kweli mwendokasi?
Hahaha acha mizinguo ujueπΉπΉπΉ Karibu had ndani, nikutandikie red carpet upite mheshimiwa? π€£
πΉπΉπΉ Lakini ulisema ana curve figureHamna kitu hapo, acha kumuita wifi maana sija kutambulisha bado.
Nani tena huyo anampiga kipenzi cha moyo wa cute? πHahaha acha mizinguo ujue
Yani napigwa kkoo.
Na mwenyeji wangu upo hapo
Oya elewa basi., hamna kitu hapo usi kute ni shumiletaMwambie wifi aselfike basi πΉ