Razorblade
JF-Expert Member
- Aug 30, 2019
- 5,153
- 10,393
Hana hiyo jeuri, nimekaa pale 😂😹😹😹 Wifi Cammilla em njoo uwaonyeshe ulivyo kisu hawa mashem wenye midomo..!!
Hana hiyo jeuri, nimekaa pale 😂😹😹😹 Wifi Cammilla em njoo uwaonyeshe ulivyo kisu hawa mashem wenye midomo..!!
😋 😋 😘 😘 😘Haya wifi twende kazi Ms eyes 😹😹
asi lie 😂🤣Hii vita,🔥🔥🔥🤣🤣🤣
😹😹😹 Unaenda wapi?Tulia nitakupigia siku naondoka 😂😂
Huyo ni Don Bill Intelligent businessmanNakufuatilia ,haya Kuna nani Tena 😂😂
Mi siachiki ila pia SI shei usisahau
Dah uchizi uta acha lini🤣😂Wifi lazima aitwe hapa kwanza mi simjui, nahitaji nitambulishwe 😹😹😹
Uwiii nimecheka mimi akili za lamomy 🤣 🤣😹😹😹 Unaenda wapi?
Usinambie ushapata shem wa mambele?
Akuonyeshe ticket kabisa usije kukutana na saidia fundi km marry..!!
Hongera mkuu ila Tayana-wog wangu kakuzidi mbali sana 😍Haya wifi twende kazi Ms eyes 😹😹
Tayana wangu 😍😍😍
😹😹😹👌Hongera mkuu ila Tayana-wog wangu kakuzidi mbali sana 😍
Ndio kwanza mwezi mchanga unakolea..!! 😹😹Dah uchizi uta acha lini🤣😂
Umeanza linii kutupanga wenzio 🤣🤣Tayana wangu 😍😍😍
Jamani Mungu huyu mbona anaumba vyombo vikali hivi??
Wewe uliumbwa ile siku Mungu aliyotudanganya alipumzika..!! 😹😹
bro mbona una niteta tena kwenye story zako na kikongwe wako🤔Huyo ni Don Bill Intelligent businessman
Hatupoi, hatuboi.Mpk Selikavu aombe poooo
Thubutu mtt wa kikinga Tena utubless hapa kitambo sijakuona😹😹😹👌
Kabisaa hujakosea mimi kabaya kila siku nawaambia hamsikii..!! 🤣
Kumbe ni mashindano mkuu?Hongera mkuu ila Tayana-wog wangu kakuzidi mbali sana 😍
Oyaaa wakuu naombeni mniheshimu kuanzia leo, mtoto katulia 😍
Anhaa, kumbe ni mkinga?Thubutu mtt wa kikinga Tena utubless hapa kitambo sijakuona
Cheupe dawa una maneno🤔Tayana wangu 😍😍😍
Jamani Mungu huyu mbona anaumba vyombo vikali hivi??
Wewe uliumbwa ile siku Mungu aliyotudanganya alipumzika..!! 😹😹