Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,079
- 95,706
Dogo kapata kikongwe, halafu ana lazimisha kufananisha na mali safi 🤣🤣Kumbe ni mashindano mkuu?
Dogo kapata kikongwe, halafu ana lazimisha kufananisha na mali safi 🤣🤣Kumbe ni mashindano mkuu?
Mkuu tupia na mtoto camillaDogo kapata kikongwe, halafu ana lazimisha kufananisha na mali safi 🤣🤣
Utamuua kijana kwa kisukari sio kwa raha hizi🤣🤣🤣😂😂😂Hapana anataka nimtag maalumu nikiweka picha
Anajua kudanganya huyu km angekuwa mwanaume warembo wangekoma🤣🤣Cheupe dawa una maneno🤔
Lamomy anajaribu kutokuelewa ila najua ameelewa 😂Uwiii nimecheka mimi akili za lamomy 🤣 🤣
Shem wako so huyu hapa Razorblade
Ipo siku utanielewa tu maana SI tushaelewana
Kufa hafi ...👌🤣🤣Utamuua kijana kwa kisukari sio kwa raha hizi🤣🤣🤣
Anajitoa ufahamu🤣🤣Lamomy anajaribu kutokuelewa ila najua ameelewa 😂
😹😹😹
Ajadanganya wewe ni mrembo kweli ila Mambo ya Mungu anataka kutufunga goli la kisigino😁Anajua kudanganya huyu km angekuwa mwanaume warembo wangekoma🤣🤣
HIyo ni Special order mkuu, nilituma maombi mwenyewe nitolewe kitu cha hivyo nivimbe nacho mjini 😍Tayana wangu 😍😍😍
Jamani Mungu huyu mbona anaumba vyombo vikali hivi??
Wewe uliumbwa ile siku Mungu aliyotudanganya alipumzika..!! 😹😹
😹😹😹 Kweli mi nasema..!!Cheupe dawa una maneno🤔
Siyo kabaya ila hujamzidi babe wangu 😂😹😹😹👌
Kabisaa hujakosea mimi kabaya kila siku nawaambia hamsikii..!! 🤣
Mambo ya Mungu mbona ni by default 🤣Ajadanganya wewe ni mrembo kweli ila Mambo ya Mungu anataka kutufunga goli la kisigino😁
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😹😹😹
Kweli Tayana wewe ni mzuri JF nzima 😍
Hivi ndo huyu? 😹😹Uwiii nimecheka mimi akili za lamomy 🤣 🤣
Shem wako so huyu hapa Razorblade
Ipo siku utanielewa tu maana SI tushaelewana
Makasiriko yanageuzwa dakika🤣🤣🤣Ninge mposti mtu hapa, shida aki kasirika huwa ana penda ani pigie simu tuongee usiku mzima 😂 😂
Tulia kijana alidhani namsaliti ndiyomaana nikakutag kwa account yako ya tikitoko.bro mbona una niteta tena kwenye story zako na kikongwe wako🤔
Mpk nimruhusu 🤣🤣Hivi ndo huyu? 😹😹
Em kwanza aselfike nimuone jamani shem 🤣