Yanii Nimeshavimbiwa chakula basi nahisi usingizi tu hapa ! Wacha nipumzishe fuvu tu babuNawe unawahi kulala mapema Mjukuu kama Mimi Babu yako?
Is it well with you?
Nipo sawa now asante snaPole sana! Vipi Saivi??? Kunywa maji inezasaidia kwikwi kukata!
Sa si uache kunywa hizo biaaa!!!!!
Uwe na njozi njema, alika Ulinzi wa Mungu katika usiku wako πYanii Nimeshavimbiwa basi nahisi usingizi tu hapa ! Wacha nipumzishe fuvu tu babu
Amen Amen!Uwe na njozi njema, alika Ulinzi wa Mungu katika usiku wako π
Kabisa, hata lile Tangazo la kuuza ice cream hapa nyumbani tunalifuta kuanzia kesho πππakikutana na mbwa wakali na uhakika hatasogeza pua yake tena
πππAmen Amen!
Kumbe hii mitaa imeanza kuchangamka tena...!!
πππππYaniiiii hata msimu ukiisha ahadi ipo paleeeepalee sis asitutanieeπ
Ndio ccy maisha mafupiπππHahahahaha..
Unakula maisha tu sis umewakaaaaπ€©π€©π€©π€©!
Shingo mwanya awwwwwwwwwwwww!
Irudiwe kipenziπππ
Ishakukosa iyoo πIrudiwe kipenziπππ
Usinifanyie hivyo bwana Nitumie hata chemba πππIshakukosa iyoo π
Sawa imeishaUsinifanyie hivyo bwana Nitumie hata chemba πππ
πππ hutaki tena wateja BabuKabisa, hata lile Tangazo la kuuza ice cream hapa nyumbani tunalifuta kuanzia kesho π
Sijui unakwama wapi? Kupita naked Mubaba ππKumbe hii mitaa imeanza kuchangamka tena...!!
Sihitaji tena watejaπππ hutaki tena wateja Babu
Nyoa tu anza upya, sema muda mwingine dawa zinaharibu sana nyweleHizi nywele zimenishinda tabia Zinakubali Sasa!!
Saivi ndo kabisa zimenyonyoka mbele na nyuma nawaza kuzinyoa tu nilivo na kakichwa kituko Sasa nkiwaza nachoka!
πππ unataka wafuate utaratibu πSihitaji tena wateja
Hawachelewi kuniibia Mjukuu wangu bure na kumtorosha π€