Hapo basi ukipata maziwa mtindi yale machachu uchanganye kabla hiyo damu haijapoa unywe kama 1ltrs kwa kweli wee kutwa nzima ni kunywa maji tuu hamna cha njaa ni kupombeka tuu