Mshana Jr unajua matumizi ya hii kitu??
Tuna renew mjini palikua pagumu sana[emoji23][emoji41]View attachment 1284336
Gambe huwa inanipa point za ushindi sana nikiwa kunako....sichoki na pia nachelewa kufika kituoni[emoji28][emoji28][emoji28] Toa na zako
Tukuambia hali halisi ya mtaani au tukuache kwanza uselebuke na joho,hongereni mliohitimu jana
Sina uhakika...ila nawasikiaga
Ndio mkuu,Kwa mbaali naona the roof of Africa.
MM
Nilikunywaga dompo nikiwa room tena zile fresh kabisa I know u know what I mean, nikaenda Rainbow nikahamia kwenye Savanna...badae Royal si nikahamia kwenye black ice Smirnoff [emoji144]
eeeh! Kesho yake nilivyoamka najua mm na Mungu wangu [emoji23][emoji23] niliacha kunywa kabisaa.. Me huwa silewi na sijawai kulewa ila nakuwaga high sana, aibu zinapotea, pombe inakimbilia down to the earth [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
spirit... K vant...nyagi and the like situmiagi
Gambe huwa inanipa point za ushindi sana nikiwa kunako....sichoki na pia nachelewa kufika kituoni
Aisee
Humu leo ni pombe tu? Mnatutia kiu jamani
Hahah hiyo siku nilikuwa nakunywa Heineken afu nikaona kama inanicheleweshea vibe, nikapiga kitoko weweeee ila ndio Ilikuwa mwanzo na mwisho
Huko huko mkuu ni mwendo wa kobe ukiwa na gambe kichwani...Kituoni kule kileleni kabisa?
Mkuu ni mwendo wa kobe kama treni la dar to moshi hahahaha ukifika kituoni umenyong'onyea vilivyo...salute to gambe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1474] Tisha sana , Kituo cha bus kinakua mbaliiiii kuliko kawaida.
Atujambo AuntyHamujambo?
Nipo mkuu
Naogopa mm kusema yalioendelea π π[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]π₯ aisee ikawaje tena mamiloo [emoji23]
Nimekuona kona fulani hivi nikaona nikustueNipo mkuu
Chat na picha