MM
Nilikunywaga dompo nikiwa room tena zile fresh kabisa I know u know what I mean, nikaenda Rainbow nikahamia kwenye Savanna...badae Royal si nikahamia kwenye black ice Smirnoff
eeeh! Kesho yake nilivyoamka najua mm na Mungu wangu
niliacha kunywa kabisaa.. Me huwa silewi na sijawai kulewa ila nakuwaga high sana, aibu zinapotea, pombe inakimbilia down to the earth
spirit... K vant...nyagi and the like situmiagi